
MCHEZO wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kati ya Mbeya City fc na
Tanzania Prison uliochezwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya
umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.
Kwenye mchezo huo uliokuwa wa vuta nikuvute, timu zote
zilishambuliana kwa...