Mwana dada Chris-Viena Close amtangaza kuwa kamwe hayumbishwi na taarifa ya kumtenga iliyotolewa na familia yake kufuatia hatua yake yake ya kuanza kucheza filamu za utupu
Tumekuwa tukiishi maisha magumu kwa muda mrefu sitaki kuendelea kuishi hivyo tena nimeamuwa kufanya haya kwa ajiri ya kuboresha maisha yangu huu ni uamuzi wangu na hakuna mtu wa kubadilisha yalikuwa maneno ya kimwana huyo mwenye mvuto wakati akizungumza na mtandao mmoja wa mambo ya burudani.
Hivi karibuni baba mzazi wa Viena, Gavilán de Oliveira Close alijitokeza na kuponda vikali hatua ya binti yake huyo na kusema kuwa Familia yake haimtambui tena kwani anacho kifanya hivi sasa kinaidhalilisha familia hiyo na kamwe hawata mkaribisha nyumbani kama mwanafamilia
0 COMMENTS:
Post a Comment