
Nyota wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza toka kuanzishwa kwa timu hiyo kwa kuweka rekodi ya kunga mabao 4 kwenye mechi nne mfululizo za mwanzo wa ligi ya la liga Mashabiki wa Real wanaonyesha kumuunga mkono mkali huyu wa kupachika mabao mwenye kiu kubwa ya kuwa mfungaji bora akiwa na timu hiyo msimu huu










0 COMMENTS:
Post a Comment