Gwiji wa soka barani Afrika Hossam Hassan wa Misri ametwaa nafasi ya ukocha kuifundisha timu ya Zamalek baada ya timu hiyo kumtupia virago kocha wake wa zamani raia wa Ufaransa Henri Michel.
Kwa mujibu wa habari kutoka jijini
Hassan alikuwa mchezaji wa kwanza kuweka historia ya kuvitumikia vilabu viwili vikubwa nchini humo yaani Ahly na Zamalek na kuvipatia mafanikio makubwa kimataifa
Mashabiki wa timu ya Zamaleki wameupokea kwa furaha uteuzi wa nguli huyo wa soka nchini humo kuinoa timu
0 COMMENTS:
Post a Comment