
staa wa soukouss kutoka huko pande za kinshasa Soleil Wanga anatarajia kufanya onyesho maaluma la kukusanya mkwanja kwa ajiri ya kuwachangia wanachi wa haiti ambao walikubwa na tetemeko kubwa la Ardhi miezi michache iliyopita
BIG UP KAKA KWA KUWAKUMBUKA WENYE SHIDA
0 COMMENTS:
Post a Comment