Jul 20, 2010

Posted by Dismas Ten in | Tuesday, July 20, 2010 No comments

Mtangazaji mahiri wa kituo cha redio Times FM, Khadija Shaibu a.k.a Dida amesema kuwa, uwezo na nguvu aliyonayo katika kutangaza imetokana na tabia yake ya kupenda ubishi kuliko kitu chochote.

“Mimi ni mbishi ile mbaya hakuna mtu anayeniweza kwa hilo huwa sikubali mpaka kieleweke, hata kama nabishana na watu kumi nitakomaa nao mpaka watanyamaza” alisema

0 COMMENTS:

TAFUTA HAPA

UNGANA NASI

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter