Mtangazaji mahiri wa kituo cha redio Times FM, Khadija Shaibu a.k.a Dida amesema kuwa, uwezo na nguvu aliyonayo katika kutangaza imetokana na tabia yake ya kupenda ubishi kuliko kitu chochote.
“Mimi ni mbishi ile mbaya hakuna mtu anayeniweza kwa hilo huwa sikubali mpaka kieleweke, hata kamanabishana na watu kumi nitakomaa nao mpaka watanyamaza” alisema
0 COMMENTS:
Post a Comment