Jul 20, 2010

Posted by Dismas Ten in | Tuesday, July 20, 2010 1 comment

>Wakati watu wote duniani hutamani kukutana na watu maarufu na wenye sifa nzuri kwenye jamii,nyota wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini Nasiibu Abdul a.k.a Diamond amesema atakuwa na furaha zaidi siku atakayo kutana uso kwa uso na kiongozi wa kundi la Magaidi la El Qaeda Osama bin Laden.

Huwa natamani mno kukutana na mtu huyu nimuone ‘laivu’ yukoje yukoje mpaka haoni tabu kufanya mambo ajabu anayoyafanya kwenye ulimwengu huu halafu nimshawishi kubadilika na kuwa mtu safi” alisema Diamond

1 COMMENTS:

Anonymous said...

wee mtoto huogopi kufa? Bush na majeshi yake wameshindwa leo wewe 2 na hiyo mbagala yako acha ujinga Osama Kitu kingine kabisa Fala wewe

TAFUTA HAPA

UNGANA NASI

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter