
Mkali wa Takeu aliye kwenye chati hivi sasa, Hamis Baba a.k.a H- Baba ndiye mtu pekee ambaye hapendi dunia iwe na siku ya kesho kwani kila kunapokucha anajiona anazeeka, kisa eti mambo yake bado yako 0-0. “Nachukia sana kila ninapoona jioni inafika na kufanya siku nyingine kuanza natamani ibaki mchana na isiwepo kesho ili niindelee kubaki kijana kuliko kwenda kwenye uzee mambo yakiwa bado ziii,” alisema mshikaji huyo.
Post a Comment