
The hit presenter wa kituo cha runinga ya TBC 1, Maimatha Jesse ‘Mai the switest’ amedai kwamba muda mwingi huutumia kujipondoa mbele ya ‘Dresing Table’ yake kwa kuwa anapenda kujiagalia kwenye kioo kuliko kitu chochote.
“Napenda sana kujiangalia kwenye kioo, popote ninapoingia na kukuta kioo lazima nitaganda kwa muda kujicheki bila kujali ni chooni au chumbani,na ukitaka ugomvi na mimi niondoe kwenye kioo” alisema Mai.
hakika unajipenda kiukweli uko juu na mimi nina kupa hongera yaani saaaaaaaaaaaaaaaaafi
Uzuri unao lakini kujichubua umeuharibu uzuri wote, hivi raha gani kuishi namna hio na make-up uso mzima masaa 48 mpaka unachukiza, wanawake hawaishi kumkosoa mungu.
Post a Comment