 Baada ya mbiyo za muda mrefu za mizozo na marumbano ndani ya ndoa yao,mwanamuziki maarufu wa Hip hop ambaye pia ni mtayarishaji mahiri wa muziki  nchini Marekani  The Dream na nyota wa muziki wa  R&B Christina Milian wameachana rasimi.  Kwa mujibu wa gazeti  maarufu la Udaku nchini humo ,The Dream, ambaye jina lake halisi ni  Terius Nash, amethitisha taarifa hizi za kuachana na  mkewe Milian, ikiwa ni siku chache baada ya kuanikwa hadharani kwa picha zilizomuonyesha akijiachia na kimwana ‘kingine’ ufukweni.  Hata hivyo  The Dream aliweka wazi kuwa  yeye na mkewe Milian waliaachana tokea mwaka jana, ingawa  waliaamua kuficha ukweli huo ili kulinda hatima ya  binti yao Violet.  Kulikuwa na misukosuko mingi ndni ya ndoa ya wawili hao iliyofungwa mwezi  Septemba mwaka jana na kujaaliwa kupata mtoto moja  Violet, aliyezaliwa mwezi machi mwaka huu.  Kwa upande wake Milan ameliambia jarida la Us MAGAZINE kuwa amesikitishwa na jambo hili ingawa hakuwa na njia nyingine ya kufanya .

Jul 14, 2010

TAFUTA HAPA
HABARI MUHIMU
- 
Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai mpaka simu ya leo na kunifanya nipate kuongea nawe msomaji kwa njia hii ya safu ya mkasa wa simu. Kwa jina ...
- 
Katika hali ya kushangaza, mapema wiki hii Mwanamitindo mahiri nchini Ureno, Nereida Gallardo amewaambia waandishi wa habari kuw...
- 
Mwanamitindo maarufu nchini Marekani Christine Mendoza amesema ameandaa mpango maalumu wa kumnasa kimapenzi nahodha wa wa zamani...
 
0 COMMENTS:
Post a Comment