Aug 2, 2010

Posted by Dismas Ten in | Monday, August 02, 2010 No comments

Mchizi ni nyota wa muziki wa R&B huko Marekani, mbali na hilo ni ‘actor’ wa muvi na mwandishi wa ‘masongi’, aling’arisha mbaya alipokuwa ndani ya ‘Kruu’ ya wakali B2K, kwa sasa jamaa anatoka ‘solo’ na tayari kitaa ana albamu inayoitwa Ollusion,,Juzi kati kaibuka na kali kuliko, akimsukumia madongo Amber Ross ‘Ex Wife’ wa mwana hip hop Kanye West, kuwa upuuzi wote anaoufanya wa kuvua nguo na ‘kumegwa’ hadharani ni kwa sababu hakusoma. “kila mtu anajua kuwa Amber Rose ‘Doesn't Have Class’ so’ hatushangai yale anayoyafanya” mchizi alichana kupitia allhiphop.com ‎jina lake kamili ni Omari Ismael Grandberry alizaliwa Novemba 12, 1984 na kuanza kuimba akiwa na miaka saba, ‘stejini’ tunamtambua kama Omarion

0 COMMENTS:

TAFUTA HAPA

UNGANA NASI

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter