Aug 2, 2010

Posted by Dismas Ten in | Monday, August 02, 2010 No comments


Ni mwanamuziki mkubwa ,mwenye heshima ya juu duniani katika Muziki wa R&B, ‘last week’ alikusanya watu 1000 na kuwapa ‘dili’ moja tu ya kuchagua ‘the best snap’ kati 7000 alizowahi ‘kufotolewa’ ili itumike kwenye kava ya albamu yake mpya iliyobatizwa jina la "Basic Instinct". Stori kutoka rap basement.com ‘zinasomeka’ kuwa wadau wameiponda hatua hiyo kwa kusema Ciara anahofia kudunda kwa albamu yake sokoni ndiyo maana kaamua kutafuta mbinu ya kuwazuga watu kwa picha kali.

Jina lake kamili anaitwa Ciara Princess Harris ‘stejini’ tunamtambua kama Ciara, alizaliwa pande za Texas, Marekani Oktoba 25, 1985 na kuanza muziki akiwa na miaka 11.

0 COMMENTS:

TAFUTA HAPA

UNGANA NASI

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter