Kamati ya Nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imetumpilia mbari rufaa iliyowasdilishwa na klabu ya Yanga kupinga usajiri wa mchezaji Uhuru Suleiman
Rufaa hiyo ya Yanga ilikuwa inapinga mchezaji huyo aliyeichezea timu ya Mtibwa Sugar ya Manungu mkioani Morogoro msimu uliopita kuwa amesajiriwa nje ya mda uliowekwa na shirikisho hilo
Kwa kifupi ni kwamba rufaa ya Yanga imetupiliwa mbali na matokeo ya viwanjani yatabaki vilevile alisema mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na kamanda mstaafu wa kanda maalum ya polisi ya mkoa wa Dar es Salaam Alfred Tibaigana










0 COMMENTS:
Post a Comment