
KWA WALE WANAPENDA KU-RIDE NA KUPIGA MISELE MCHUMA MPYA AINA TESLA
Hili ni mingoni mwa magari ya kisasa kabisa yaliyokuwa yakifanyiwa uzinduzi mapema mwezi huu kwenye soko la jijini New York Marekani
kwa hapa bongo kama utapenda kuumiliki mkoko huu wa kutanulia wasliana na Mr Dunson Herman 0712 548071
Yaliyomo 1. Full Ac.
2. Dvd & Tv Radio
3.Open Roof
4. 380 kph
5. Na mambo mengine kibao
kwa vijana na wazee wanjanja na wapenda kujiachia huu ni mkoko mabao hutakiwi kuukosa na weka historia ya kuwa mtu wa kwanza kumiliki aina hii ya gari ambayo hapa Town utakuwa peke yako hakuna wa kujilinganisha nae










0 COMMENTS:
Post a Comment