Licha ya ubora wa kiosi cha timu ya JKT ORJORO hivi sasa msemaji wa klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amejinasibu kuwa wataibuka na ushindi mnono kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara unaotarajiwa kupigwa leo kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.Akizungumza na SLT muda mfupi uliyopita kwenye hotel ya Lamada jijini , Kamwaga amesema kuwa wanafahamu ubora wa timu wanayokwenda kucheza nayo lakini maelekezo mazuri waliopata wachezaji wake kutoka kwa Mwalimu Milovan anaimani kubwa yakikosi chao kuibuka na ushindi mnono.











0 COMMENTS:
Post a Comment