Ikiwa imesafiri umbari wa km 500 kutoka jijini Dar Kikosi cha mabingwa wa soka nchini Dar Young African tayari kimeshawasili jijini Tanga tayari kwa mchezo wa ligku ya tanzania bara akatika uwanja wa wa Mkwakwani.
Akizungumza na blog hii mapema leo asubuhi msemaji wa klabu hiyo Louis Sendeu ametemba kuibuka na ushindi kwa kikosi chake licha ya kuwa wanacheza mchezo huo ugenini.

"Hakuna kingine tulichokifata huko ni pointi tatu muhimu tunafahamu Coastal ni wazuri lakini kikosi chetu ni bora zaidi kuliko wao hivyo nina uhakika tutachinja kiulaini Mkwakwani hiyo kesho" alisema Sendeu.
Post a Comment