Kufutia kichapo cha mabao 5-0 walichokipata Yanga katika mchezo wa kuhitimiahs Ligu kuu ya Tanzania Bara 2011/12, msemaji wa kalabu hiyo yenye makao makuu yake mtaa wa jangwani jijini Dar Louis Sendeu amesema wamekubari kipigo hicho na wanajipanga upya kwa ajili ya msimu ujao.
Akizungumza na blog hii mida mfupi mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa , Sendeu alisema kuwa hakika wamekuwa na msimu mbaya na kifupi wamkubari kichapo hicho kutoka kwa watani zao.
"Mwenyewe Umeona siwezi kusema lolote wala kumsingizia mtu, tumekubari kufungwa na tunajipanga kwa msimu ujao" alisema sendeu
0 COMMENTS:
Post a Comment