Jun 11, 2012

Posted by Dismas Ten Monday, June 11, 2012 No comments

 Golikipa namba moja wa Klabu ya  Yanga, Shaban Kado amesema chochote kuhusu kutolewa kwa mkopo katika timu yake ya zamani Mtibwa Sugar.
 kufuatia kutopewa taarifa rasmi.

Akizungumza na Blog hii mapema  leo Kado amesema  hajapata  taarifa rasmi kutoka  uongozi wa timu yake juu ya suala hilo ingawa anatarajia kukutana na viongozi wa klabu hiyo hivi karibuni.

“Mimi sielewi kitu chochote hadi sasa, bado sijapewa taarifa yeyote mpaka sasa lakini natarajia kukutana na uongozi wakati wowote kuanzia  sasa ndipo  nitaamua  hatma yangu” alisema Kado





0 COMMENTS:

TAFUTA HAPA

UNGANA NASI

Delicious Digg Facebook Favorites More Stumbleupon Twitter