Nyota wa kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) Mrisho Ngassa amesema kuwa alipigwa kiwiko cha nguvu na mlinzi wa timu ya Taifa ya Gambia kilichomfanya kupasuka sehemu ya juu ya jicho la upande wa kushoto katika mchezo wa kuwania kufuzwa kwa kombe la dunia 2014 uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam..
Akizungumza na Blog hii muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo huo Ngassa aneyecheza kwenye kikosi cha Azam Fc alisema kuwa amesikitishwa na mwamuzi wa mchezo huo Reivire Revire kutoka Zimbabwe kwa kushidwa kuliona tukio hio na kutokumwazibu kwa kadi yoyote mlinzi huyo.
"Jamaa alinifanyia kitendo kibaya lakini nasikitikia mwamuzi hakuona na hakuchukua hatua yoyote kwa beki huyo, kilikuwani kiwiko cha makusudi kilicholenga kuniumiza na kunitoa mchezoni lakini nashukuru mungu madaktari walifanya kazi nzuri nikaweza kuendelea na mchezo hadi mwisho" alisema Ngasa.

0 COMMENTS:
Post a Comment