Mwenyekiti wa klabu ya Simba Sc ya Dar es Salaam, Ismail Aden Rage amesema atalindikia barua Shirikisho la soka nchini kutaka litoe maelezo kuhusiana na kuondoka kambini kwa mchezaji wake Kelvin Yondani kwenda akufanya usajiri huku akiwa amevaa fulana ya timu ya Taifa.
Akizungumz ana blog hii mapema leo Rage amearifu kuwa haelewi ilikuwa Yondani kuondoka kwenye kambi ya timu ya Tiafa bila viongozi kujua na kwenda kufanya usajiri huo aliodai kuwa ni batili
"Sielewi nitaiandikia barua TFF kutaka itoe maelezo kuhusu hilo" alisema Rage.

0 COMMENTS:
Post a Comment