Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza majina ya waamuzi watakao chezesha mchezo wa kuwani kufuzu kwa kombe la dunia baina ya Taifa Stars na timu ya taifa ya Gambia unaotarajiwa kupigwa jumapili hii kwenya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo kwenye makao makuu ya shirikisho hilo yalipo kwenye uwanja wa Karume msemaji wa TFF, Boniface Wambura amearifu kuwa waamuzi hao watako toka nchini Zimbambwe wanatarajiwa kuwasiri kesho majira ya arasili na moja kwa moja kuripoti katika ofisi za shirikisho hilo kabala ya kwenda kujipumzisha.
"Watawasiri kesho na wote wanatoka nchini Zimbabwe, Mwamuzi atakaye puliza kipenga anaitwa Ruzire Ruzire na wasaidizi wake ni Salani Neube na Edgar Rumeck huku mechi kamishina akiwa Fanie Wallance Mabuza na Mwamuzi wa akiba atakuwa Alli Waisa" alisema Wambura.

0 COMMENTS:
Post a Comment